KUTOKA MAKTABA
Katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mwaka 2025, wajumbe kutoka pande zote za Tanzania walikutana kwa umoja na mshikamano mkubwa ili kufanya maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa.
Mkutano huu ulikuwa na dhamira ya kumuidhinisha mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi. Kwa kauli moja na kwa mujibu wa Katiba ya CCM, wajumbe waliridhia jina la mgombea ambaye ataendelea kulinda, kuendeleza na kusimamia dira ya maendeleo ya Watanzania wote.
Huu ni ushuhuda wa imani, umoja na msimamo wa chama katika kujenga Taifa imara na lenye maono ya maendeleo endelevu.
#OktobaTunatiki✅ #kazinaututunasongambele