Wiki hii yote,kazi yake ni kushinda kwenye TV,na radio,lkn hataki kabisa kuwaona wengine wakisikika kwenye tv,na radioHawa jamaa (CCM) wanataka wafanye siasa pekee yao. Wameiona hatari ya wananchi kila wakati wakiwaamini wapinzani wao ktk siasa zao.
Bahati mbaya kwa wananchi na nzuri kwao (CCM) ni kuwa nchi hii ng'ombe ni wengi sana. Hivyo ni rahisi kwa kina Polepole kuchezea
Selfish na pia kujaribu kuiga hulka za mzeeWiki hii yote,kazi yake ni kushinda kwenye TV,na radio,lkn hataki kabisa kuwaona wengine wakisikika kwenye tv,na radio
Ashkuru tuko TANZAGIZA kwa huo unafki wake,la sivyo.........True true. ..
Amuulize Mangula
hahaha! Sijasema kaishiwa hoja, utakuwa umenimisquoteKungekuwa na wapinzani wa kweli wenye uwezo,nanyi mnaamini kuwa Polepole kaishiwa hoja mngetumia udhaifu wake kuimarisha mnayoyaamini.Kwa kuwa mu waongo na Humphrey ni wa kiwango kingine mmesalia kulia lia. Huyu si kiongozi wa Serikali tena ni Kiongozi wa CCM,anawalizaje?
Wapinzani wakweli wafanyie siasa zao wapi ?! Majukwaa yote yamevunjwa na Media zote zikinusuru mabawa yao kuhofia kufungiwa. Utamlinganishaje na mwanasiasa mwingine hata jukwaa letu pekee (Bunge) liko gizaniKungekuwa na wapinzani wa kweli wenye uwezo,nanyi mnaamini kuwa Polepole kaishiwa hoja mngetumia udhaifu wake kuimarisha mnayoyaamini.Kwa kuwa mu waongo na Humphrey ni wa kiwango kingine mmesalia kulia lia. Huyu si kiongozi wa Serikali tena ni Kiongozi wa CCM,anawalizaje?
Polepole ni specie iliyozeeka mapema sana kabla ya umri wake.
Samahani Ms. Lincoln unataka kuniambia baada ya miaka kadhaa atamzid kingunge
mkuu hivi huyu mtu ni kijana au mzee! Huwa nikimuangalia sana usoni nakosa majibuPolepole ni specie iliyozeeka mapema sana kabla ya umri wake.