Polepole hajakoma, ajipanga kivingine

Polepole hajakoma, ajipanga kivingine

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,006
Baada ya haya:Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!, Polepole hajanyanyua mikono juu kukubali kushindwa. Anajipanga kivingine.Anajipanga kutikisa hata kwa visa vya kisiasa vya kisasa.

Taarifa zilizonifikia huku niliko Singida ni kuwa kwasasa anapanga 'kuwatengeneza' Wahamiaji na kuwapa vyeo kama kwenye video ili 'wanogeshe' habari yake. Taarifa zinabainisha kuwa Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi ameona na kuamini kuwa Mwenyekiti wetu Dr. Magufuli anapendezwa na hamahama ya wanasiasa.

Naamini, Katibu wetu Polepole atafanyiwa 'surprise' na Mwenyekiti muda si mrefu. Namsihi kuacha filamu zake hizi na ajikite kutangaza Itikadi na sera za chama chetu. CCM bado iko imara na inapendwa ingawa pia inapondwa.

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kinampanda, Iramba-Singida)
 
Hahahhahahahahah wanachama 280,000 mmnapata 10% ya wanachama wenu kweli.Hivi inakuwaje mbunge apate kura 896 tu,huko singida manwanachama wangapi?

Hakika CCM inapendwa sana pale wanaojitokeza kupiga kura ni 47 tu.Jitafakarini Mkuu
 
Mwanangu Tetty, punguza hasira. Utapata hasara!

Mzee Tupatupa
 
Baada ya haya:Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!, Polepole hajanyanyua mikono juu kukubali kushindwa. Anajipanga kivingine.Anajipanga kutikisa hata kwa visa vya kisiasa vya kisasa.

Taarifa zilizonifikia huku niliko Singida ni kuwa kwasasa anapanga 'kuwatengeneza' Wahamiaji na kuwapa vyeo kama kwenye video ili 'wanogeshe' habari yake. Taarifa zinabainisha kuwa Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi ameona na kuamini kuwa Mwenyekiti wetu Dr. Magufuli anapendezwa na hamahama ya wanasiasa.

Naamini, Katibu wetu Polepole atafanyiwa 'surprise' na Mwenyekiti muda si mrefu. Namsihi kuacha filamu zake hizi na ajikite kutangaza Itikadi na sera za chama chetu. CCM bado iko imara na inapendwa ingawa pia inapondwa.

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kinampanda, Iramba-Singida)
Duu unatembea kama fastjet... Bombadia chifwile?
 
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na *CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua *RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO*
 
Mwanangu Tetty, punguza hasira. Utapata hasara!

Mzee Tupatupa

Wala sina hasira ni Busara tu na furaha kuona Chama Chetu Pendwa kinapata Mbunge mweney kura 876.Anyway Karibu Matani wako amerudi likizo ila amepoteza Binti yake mrembo kwa Uzembe wa hospitali zetu
 
Baada ya haya:Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!, Polepole hajanyanyua mikono juu kukubali kushindwa. Anajipanga kivingine.Anajipanga kutikisa hata kwa visa vya kisiasa vya kisasa.

Taarifa zilizonifikia huku niliko Singida ni kuwa kwasasa anapanga 'kuwatengeneza' Wahamiaji na kuwapa vyeo kama kwenye video ili 'wanogeshe' habari yake. Taarifa zinabainisha kuwa Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi ameona na kuamini kuwa Mwenyekiti wetu Dr. Magufuli anapendezwa na hamahama ya wanasiasa.

Naamini, Katibu wetu Polepole atafanyiwa 'surprise' na Mwenyekiti muda si mrefu. Namsihi kuacha filamu zake hizi na ajikite kutangaza Itikadi na sera za chama chetu. CCM bado iko imara na inapendwa ingawa pia inapondwa.

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kinampanda, Iramba-Singida)
we jamaa ni mnafiki sana...wasalimie Ufipa
 
Minong'ono Lumumba eti Pole pole anatumika na upinzani kukiua chama taratibu style ya "killing me softly"
 
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na *CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua *RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO*
Duh ndugu siasa sasa imewapata wenyewe...ni mwendo wa kurushiana madongo tu, yawe ya kweli sawa! yawe ya urongo mtupu sawa!
 
Kama mmeanza kumshambulia Polepole kwa propaganda namna hii, ni dalili za kuwa mnamuogopa na amekuwa hatari kwa ustawi wa CDM. Yetu macho cha muhimu atakayeshindwa hatutaki alie lie kama litoto.
 
Wala sina hasira ni Busara tu na furaha kuona Chama Chetu Pendwa kinapata Mbunge mweney kura 876.Anyway Karibu Matani wako amerudi likizo ila amepoteza Binti yake mrembo kwa Uzembe wa hospitali zetu
Kama unafiki una madaraja basi wewe na kina jinga jingga lao mtakuwa na daraja la kwanza. Mnafiki wakati kaongea ukweli .unafiki wake upo wapi
 
Kwa hiyo huyu Taratibu atashushwa cheo au atapandishwa? Hom swiit Hom, welcome
 
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na *CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua *RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu.. Wewe kama si joti basi utakuwa mpoki
 
Mmm hapo kwenye ruzuku ni sipo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] acha watumie walokabidhiwa na wakwe zao
 
Baada ya haya:Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!, Polepole hajanyanyua mikono juu kukubali kushindwa. Anajipanga kivingine.Anajipanga kutikisa hata kwa visa vya kisiasa vya kisasa.

Taarifa zilizonifikia huku niliko Singida ni kuwa kwasasa anapanga 'kuwatengeneza' Wahamiaji na kuwapa vyeo kama kwenye video ili 'wanogeshe' habari yake. Taarifa zinabainisha kuwa Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi ameona na kuamini kuwa Mwenyekiti wetu Dr. Magufuli anapendezwa na hamahama ya wanasiasa.

Naamini, Katibu wetu Polepole atafanyiwa 'surprise' na Mwenyekiti muda si mrefu. Namsihi kuacha filamu zake hizi na ajikite kutangaza Itikadi na sera za chama chetu. CCM bado iko imara na inapendwa ingawa pia inapondwa.

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kinampanda, Iramba-Singida)
Aisee unajua kuuma na kupuliza!! Ukisikia double standard basi ndo hiyo.
 
Rubbish & Fake!!!
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na *CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua *RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO*
 
Baada ya haya:Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!, Polepole hajanyanyua mikono juu kukubali kushindwa. Anajipanga kivingine.Anajipanga kutikisa hata kwa visa vya kisiasa vya kisasa.

Taarifa zilizonifikia huku niliko Singida ni kuwa kwasasa anapanga 'kuwatengeneza' Wahamiaji na kuwapa vyeo kama kwenye video ili 'wanogeshe' habari yake. Taarifa zinabainisha kuwa Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi ameona na kuamini kuwa Mwenyekiti wetu Dr. Magufuli anapendezwa na hamahama ya wanasiasa.

Naamini, Katibu wetu Polepole atafanyiwa 'surprise' na Mwenyekiti muda si mrefu. Namsihi kuacha filamu zake hizi na ajikite kutangaza Itikadi na sera za chama chetu. CCM bado iko imara na inapendwa ingawa pia inapondwa.

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kinampanda, Iramba-Singida)
Stupidity thread
 
Mzee Tupatupa kunani huko kinampanda?
 
Back
Top Bottom