Polepole hajakoma, ajipanga kivingine

Polepole hajakoma, ajipanga kivingine

mtanzania1989: Ahaaa! Kumbe ninyi mnavyokesha kumponda Mbowe kila kukicha kumbe mna mwogopa. Asante kwa tafsiri kuwa mtu akiongelewa sana anaogopwa. Basi upinzani unaogopwa sana, maana kila kukicha Lumumba hamuachi kuuongelea upinzani.
 
Kama unafiki una madaraja basi wewe na kina jinga jingga lao mtakuwa na daraja la kwanza. Mnafiki wakati kaongea ukweli .unafiki wake upo wapi

Nimekujibu wewe alichoongea ukweli kipi?Hizi porojo za kudanganyia watu mkadhani wamedanganyika kume wanawachora tu kwa dharau.

Ogopa sana mtu asiyeongea ,maana ukabwabwaja mwezio akitoka anakung'onga nakuendelea na maisha yake,unabaki oh Chama Dola,shauri yenu
 
Ni aibu mbunge wa Chama tawala anashinda kwa kura chini ya 1,000 tena huku tanzania bara!
 
Naona Pole Pole anajenga nyumba ya Barafu ndani ya CCM ambapo ifikapo 2020 itakuwa imeyeyuka kabisa.
 
Back
Top Bottom