Polepole: CHADEMA wanagawa rushwa Monduli

Kweli naamini ule msemo wa wahenga unao sema "Kunya anye kuku....... akinya bata ameharisha........."
 
Hahahahahahahah pole pole mbona anaenda tofaut na Jina lake speed hii lazima apite kwao
 
Polepole amefukuliwa toka makaburi ya kinondoni. Ameanza kuweweseka ovyooo kama mzee pombe.
 
Kweli ccm hamna issue. Kuanzia lini Masai anatumia chumvi kwenye misosi yao😅
Bora mngesema sukari. Polepole acha kutoka mapovu.
Kwani si mna uwezo wa kutangaza matokeo wakati wapiga kura bado kwenye foleni ya upigaji kura. Leo imekuwaje tena mnalalama.
NEC watangaze tu ccm imeshinda ili muone matokeo yake. Mnatafuta majanga tu.
Wananchi wa Monduli si wa kuchezea.
Huyo atapata tabu sana.
 
Pole pole aangalie kuna kina dalili ya kushindwa kukidhi matakwa ya mkataba wa kumrudishia ubunge wake kalanga wakamlipa pesa ndefu nyingine tena.
ana option ya UDC , nimeona karatasi ya makubaliano yao .
 
ndio hivyo mkuu , kuna kiongozi mmoja wa idara nyeti amevujisha makubaliano yao kwa Mh Lowassa ndio maana sisi wengine tumeyaona
Wana kazi sana hawa ma ccm kwa huu mchezo wao wa kipuuzi mana majamaa wao wanataka nyadhifa zao tu ktk hayo makubaliano yao na pesa juu.
 
Hivi hawa Vampire Killers washuhudie Chadema wanatoa rushwa halafu walalamike tu bila kuwatumia Gestapo?
 
Kunya anye kuku bhana, akinya bata.......!!!!Chakubanga anajihami
 
Mie nadhani anagawa rushwa ni yule aliyemfanya karanga na mwita wajiuzulu ubunge
 
haijawai tokea duniani popote mtu kuhama chama katika ngazi yake ya ubunge na kuhamia chama kingine na kugombea tena nafasi ile ile ,,,,,,,,,,,hii nin aibu sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…