Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Siku zinakwenda kwa kasi sana.

Polepole amuulize Mdee hizo kura feki alizitoa wapi.

35E29991-2CA4-4909-97AF-6CFBC721CA42.jpeg
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Polisi ni wenu na vyombo vyote vya dola ni vyenu. Kuchapisha

Kuchapisha kura feki ni kosa la jinai. Polisi ni wenu na vyombo vyote vya dola ni vyenu. Kwa nini hamkuwashitaki wahusika? Tangu lini mkawa na hisani kwa CHADEMA, hasa enzi za Magufuli? Hata mtoto wa kindergarten hawezi kukubali upupu huu!
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
INGEKUWA NI KWELI LILE JINI LENU MWENDAZAKE NINGEWANYONGA VIONGOZI WOTE WA CHADEMA
 
Back
Top Bottom