Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Miaka mitano uliopita nikiwa ziarani Mumbai India nilikutana Na Mungu akitembea barabarani akiwa amepambwa kwelikweli Na hivyo nikashtuka kwani nilidhani nyumba ilikuwa ikitembea. Mwenyeji wangu akaniambia usihofu kwani huyo ni Mungu (tembo) ambaye huabidiwa na dhehebu fulani. Akanijulisha kuwa nchini kwao kuna miungu ipatayo laki tano na nusu.
Hapa Tanzania tuna miungu mingi pia. Ukisikia watu wanahama Dar mwezi Desemba kila mwaka eti kwenda kuhesabiwa baadhi wanakwenda kutamboka kwa miungu yao. Hivyo Katibu Uenezi kusema Chama chake ni cha Mungu wa mbinguni msishangae kwani Mungu anayemwamini yeye si lazima awe Mungu aliye hai; yaweza kuwa ni moja ya nyota za angani. Inawezekana pia wanaabudu moja satellite 📡 zilizoko anga za juu kuwa Mungu wa chama chake.
Endelea kuabudu Mungu ingawa wenye hekima huabudu Mungu aliye hai na wala hawajikwezi wala kujivuna kwani vyote walivyo navyo ni kwa neema ya Mungu.
Mwenyezi Mungu awarehemu wote na kuwajalia hekima itokayo kwake juu ili wajitambue na kumrudia yeye aketie mahali pa juu sana.
 
Nalia na huu utani wa Mungu, Yahwe wa kweli au naota wanamaana ya miungu ya polepole?
Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo Polepole na chama chake watapata pigo kubwa saaaaana kabla ya 2020 kwani Mungu hadhihakiwi na kamwe hachangii Utukufu wake na wanadamu.Ilaaniwe CCM milele na milele na wote wenye akili timamu tuseme Aaaaamen!!!!
 
CCM ina mambo mengi yaliyojificha, labda wewe hili la Mungu kuwa mwanachama wa CCM hulijui lakini kiongozi wako Polepole anajua mpaka namba ya Kadi ya Uanachama wa Mungu ndani ya CCM.
Mimi sio ccm so mambo yao hayanihusu.
Watajuana huko.
 
kutoka siasa za kilafi hadi upasta feki
 
Jaji Lubuva Amtangaza Mshindi Wa Urais .
Je Lubuva ni mungu?
Kijana mbona unajitoa akili?
Hujui kuwa Mungu hufanya kazi kupitia watu aliowaumba?
Au ulitaka Mungu ashuke atangaze?
 
Mungu nyoosha.mkono wako kwa wote wanaokydhihaki Maaskofu wasingetoa Waraka
 
Hatuwezi kuunga mkono upumbavu eti kwa sababu mpumbavu Fulani anakubaliana na maneno ya kipumbavu ya mpumbavu mwenzake. Kama humwamini Mungu sisi haituhusu, mwacheni Mungu wetu msimhusishe na mambo ya kipumbavu.
 
Hatuwezi kuunga mkono upumbavu eti kwa sababu mpumbavu Fulani anakubaliana na maneno ya kipumbavu ya mpumbavu mwenzake. Kama humwamini Mungu sisi haituhusu, mwacheni Mungu wetu msimhusishe na mambo ya kipumbavu.
Hakika!
 
Mungu sio mnafiki wa kufananishwa na chama cha walaji
 
Huyu dogo analinda tumbo lake
 
Hizi kauli nyingine ndio chanzo chs kutokupata maendeleo kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…