Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Ipo siku atatoa hesabu ya dhihaka na utapel wanaowafanyia wa Tz. Kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi... Yaan 45min tu walishakula 3-0
 
Sasa naona ni mene mene tekeli na peresi.
 
Kufuru ya huyu chakubanga kwa Mola wetu haina tofauti na ile ya Herode ambapo Mungu alimshushia safura wakamtafuna hadharani! ndicho anachostahili chakubanga!
 
Mkuu haziakiwi maana yake nini? Unaitia najisi nchi takatifu huko
 
CCM expire date 27/10/1985
 
Huna lolote ! mnafiki mkubwa wee ! tangu lini wewe ukajitenga na uharamia wa ccm ? mwenyekiti wako alipotangaza kwamba njooni kwangu mliolemewa na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha mbona hukushangaa ?
Hujui usemalo endelea kuuza tu mananasi hapo uyole!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Mkuu Alikuwa mfalme herode.
 
Aibu kwa tbc na maccm wote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…