johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Mungu wa CCM yupo hapa hapa Duniani ambae ni JiweKatibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Unajua ndugu na kumbuka maandiko Fulani wananchi walimsifia mfalme wao hadi wakafika mahali wakasema sauti ya mfalme ni kama sauti ya Mungu kilichomtokea huyo mfalme mmmh hata haya ya vyama tumefika mahali tunasema vya Mungu yatatutokea bora angesema chama cha kipo kwa mpango Wa Mungu badala ya kusema ni chama cha Mungu alafu madaraka yakulevya ni kitu kibaya sanaKatibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Huna lolote ! mnafiki mkubwa wee ! tangu lini wewe ukajitenga na uharamia wa ccm ? mwenyekiti wako alipotangaza kwamba njooni kwangu mliolemewa na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha mbona hukushangaa ?Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Jaji Lubuva Amtangaza Mshindi Wa Urais .Ninachojua serikali ya Magufuli imewekwa na Mungu.
Mungu hana chama.
Hahaha FaizaFoxy Njoo huku, kuna mtu anaharibu Kiswahili chetu.Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!