Polepole: CCM Itashindwa Iwapo Uchaguzi utakuwa wa Haki na Huru

Haya ndo u anayofanya chadema waonekane watu wa propaganda yu.. Video kama hii inakata kakipande flani na ku post lengo ni iweje labda? Weka video yote tuione sio pumba hizi
 
Anafikiri akisema hivyo ndiyo ataaminika kwa wananchi tena wakati alishajulikana kuwa ni mtu wa kununurika.
 
Kati ya watu wanao dharaulika hapa jukwaani ni wewe

Kisa nasimamia yangu, vizuri sana kama umeamua hivyo na kujisemea. Acheni wivu, jipaisheni wenyewe vya dezo hakuna tena.

Hapa kazi tu

Makonda oyeeeeeee, unaona eeeh hakunaga kiongozi kama yeye. Na bado mengi yanakuja
 
Polepole Humphrey ameitabiria CCM kushindwa iwapo uchaguzi utakuwa wa haki na huru

Hii ya lini ? Ni ya sasa akiwa kama katibu sijui wa uenezi na itikadi wa CCM !!??

Kama ndiyo, basi ni wazi kabisa kuwa huyu dogo nadhani ameshaanza kujichoka na anatengeneza mazingira ya kuwa "jipu lililoiva" ili ajikamue ama akamuliwe na yule nyumbu mkubwa wao wa kijani !!

Anathubutu kutoa siri za ushindi wa magoli ya mkono wa CCM wa ligi za misimu yote tangu kuanzishwa Multparty System Premier Léagué (MSPL)?
 
vifaru vileee..
kama 2015
jeshi la chama
polisi makada
usalama makada
what you expect..
vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa makada hai..
damn
 
Kisa nasimamia yangu, vizuri sana kama umeamua hivyo na kujisemea. Acheni wivu, jipaisheni wenyewe vya dezo hakuna tena.

Hapa kazi tu

Makonda oyeeeeeee, unaona eeeh hakunaga kiongozi kama yeye. Na bado mengi yanakuja
Kindururu
 
Hilo hakuna asiyelijua ila haki na uhuru vyote vinatafutwa wenye mahtaj navyo watavitafuta baada ya kuchoka maigzo
 
Haya ndo u anayofanya chadema waonekane watu wa propaganda yu.. Video kama hii inakata kakipande flani na ku post lengo ni iweje labda? Weka video yote tuione sio pumba hizi

Mkubwa hiyo sentensi ni "Complete & indepedent" haihitaji neno ama sentensi nyingine aidha kwa mbele ama nyuma, kushoto ama kulia ili ilete maana nyingine tofauti na hii ambayo kila mtu humu ukiwemo wewe ulivyoielewa !!
 
ulipaswa kusema alinukuu kauli ya wapinzani waliposema.. ndo uweke hiyo video Acha kupotosha ukweli
 
ulipaswa kusema alinukuu kauli ya wapinzani waliposema.. ndo uweke hiyo video Acha kupotosha ukweli

Mimi sijui, ninachokijua na kukielewa ni hiki nilichokiona na kukisikia ktk video hii....

Wewe kama una kitu tofauti, leta hiyo video inayo "counter attack" hii, ili jukwaa lijadili....

Sasa wewe unaleta maneno tu wakati mleta mada kashusha mzigo mzima !!??

Worse enough, unaniambia mimi napotosha. Nipotoshe nini wakati mimi nimeona na kusikia hivyo ? Wewe umesikia na kuona tofauti ? Tofauti ipi hiyo ?....

Please, why don't you show that difference to the audiences rather than complaining and condemning other People without any evidence...!!??
 
Back
Top Bottom