Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

Kwahiyo nisipotamka maneno hayo ndo sitakufa?
 
Utakuwa na kichaa flani wewe
 

Haya ni mapinduzi. Tanzania bila Wachagga na Wanyakyusa ni sawa na Kenya bila Wajaluo au malaya wa Kigriama kule peanut. Sasa Tanzania tumeokoka, wenzetu walikuwa wamerubuniwa, wanarudi. Karibuni nyumbani ndugu zetu, Waziri Mkuu awamu ya 6 ni Mheshimiwa Mwanri. Bwana Mbowe mkumbuke Marehemu Baba alichangia Nyerere nauli kwenda UNO, kwa nini unamsaliti? Wachana na vichaa Nairobi na Wachungaji majizi Iringa au wavaa Rasta majambazi waJerry. Rudi CCM kwa marehemu baba yako. Hata baba Mkwe ni rafiki wa Nyerere kapata mtaji kuanzisha CHADEMA kwa ubavu wa Mwalimu IMF. Ongea naye. He will understand..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…