Hiyo sio kazi yake kuirudisha pasi ya kusafiria ni mali ya serikali hivyo kama serikali imeona ana makosa ndio wanaweza kuichukua ila sio yeye kuirudisha.
Na labda katika condition huko alipo akiwa declared persona nonn grata.
Hayo yote hayajafanyika na hadhi ya ubalozi bado anayo ila hayuko katika kituo cha ubalozi.