Polepole apewe msaada haraka

Polepole apewe msaada haraka

Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa matibabu hayo.

Maana kilichompelekea kufikia hapo ni kupewa madaraka ya kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba na kutumia madaraka vibaya na baada ya yote hayo aliona hajiuzuru kabla ya skendo yake kuvuma kwa kasi.
Code activated mtajuwa hamjuwi hiyo ngoma lazima mtapike muda umefika walio ifia nchi wanataka haki itendeke chama sio cha mabwenyenye
 
Code activated mtajuwa hamjuwi hiyo ngoma lazima mtapike muda umefika walio ifia nchi wanataka haki itendeke chama sio cha mabwenyenye
Wengi wamemwagwa humu...joined august kuanzia tarehe 22...
 
Sawa mngese mwenzangu uliyeungana na huyo mgonjwa kuzusha mambo ambayo hayana ushahidi kazi kuaribu sifa ya utawala
Ushahidi gani unataka wewe kunguni mgense
Lisu hakupigwa risasi?asad hakugundua trn 1.5 ? saa 8 yupo?
Alafu unaleta ujinga wa polepole eti afikiriwe wakati yanatokea haya yeye anasifia v8 watu wanapotea , kupigwa ,pesa kibao zinapotea yeye anazuzuka na v8 wapumbavu nyinyi nyote mnaemunga mkono polepole.
 
Ukweli alionao
Pole pole amesema atazungumza tena....... stay tuned..! Anayo Mengi sana.

Mambo ni mpera mpera.................!

Na hakuna anayemjibu kwa hoja, Kila anayejitokeza mara nyingi anamshambulia personally kama huyu 'eti' akapimwe akili..!
Polepole ukweli alionao labda kuizungumzia v8 ndio yupo tayari kusema mengine muongo sana
 
Ushahidi gani unataka wewe kunguni mgense
Lisu hakupigwa risasi?asad hakugundua trn 1.5 ? saa 8 yupo?
Alafu unaleta ujinga wa polepole eti afikiriwe wakati yanatokea haya yeye anasifia v8 watu wanapotea , kupigwa ,pesa kibao zinapotea yeye anazuzuka na v8 wapumbavu nyinyi nyote mnaemunga mkono polepole.
Wengine wanatekana wao kwa wao alafu wanasema ni serikali kumbe wanagombania nafasi kwenye chama chao
 
Back
Top Bottom