Polepole apewe msaada haraka

Polepole apewe msaada haraka

Joined
Aug 25, 2025
Posts
16
Reaction score
9
Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa matibabu hayo.

Maana kilichompelekea kufikia hapo ni kupewa madaraka ya kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba na kutumia madaraka vibaya na baada ya yote hayo aliona hajiuzuru kabla ya skendo yake kuvuma kwa kasi.
 
Sasa kati yako wewe na polepole nani haswa ana matatizo ya Afya ya AKILI?
Mwenzio ana facts wewe una VIROJA?
Ulimpima hospital gani?
Lini?
Lengo lako lilikuwa nini?
Tatizo lake lipo kwa kiasi gani ukilinganisha na wewe na ubaowatumikia?
 
Genge la mauaji ipo siku mtajibu kesi
 
Wewe ndo hauko sawa. Atawasema wote maana wote mmepangishiwa nyumba na kazi kutukana
 
CCM kweli wangese mlimpatia kazi ya ubalozi mtu mwenye tatizo la afya ya akili?. Au baada ya kuanza kuwanyoosha uko kwenu hahahaah!! Na kasema ahami ngooh!. BUKU 7 kwa cku mtaipata kwa tabu MNO this time uko Lumumba.
Hoja ujibiwa kwa hoja na sio vioja sw.

KAZI ni kipimo cha utu
 
Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa matibabu hayo.

Maana kilichompelekea kufikia hapo ni kupewa madaraka ya kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba na kutumia madaraka vibaya na baada ya yote hayo aliona hajiuzuru kabla ya skendo yake kuvuma kwa kasi.
Joined: 24 August
😝😝
 
Sorry ckuona join lini. Kumbe msaka tonge ww. Karibu JF
 
Attachments

  • Screenshot_20250901-170642.png
    Screenshot_20250901-170642.png
    82 KB · Views: 21
Sasa kati yako wewe na polepole nani haswa ana matatizo ya Afya ya AKILI?
Mwenzio ana facts wewe una VIROJA?
Ulimpima hospital gani?
Lini?
Lengo lako lilikuwa nini?
Tatizo lake lipo kwa kiasi gani ukilinganisha na wewe na ubaowatumikia?
Mimi naona polepole dish limeyumba hivi amewahi kuzungumzia trn 1.5 au nani alimpiga lisu risasi?je Kwenda kumuona wakati akiwa mgonjwa .
Wapi saa 8 huyu anaweza kuwa mwema kweli?
Tunatambua nani anamtuma na amebeba ujumbe wanani
Serekali nadhani wamekwisha jua wazi ndio maana hajibiwi
Ni swala lakiimani kama kawaida yao ukiwabana wanatafuta ubaya ili uwape watakacho mama kaza hii nibaada ya lisu kufeli
 
Joined august 25..

Polepole anasema. Mmewekwa Lundo nyumba maeneo flan hapa dar...kazi yenu ni kushambulia wakosoaji na kuwwatukana ..na wote Id.zenu mpya mpya wengi mmejoin august 25....mnalipwa sh ngapi...? Muwape ajira na wengine humu ..
 
Yani wewe ulivyompumbavu hadi unatia huruma.... mtu anakwambia boxer yako inatoa harmful badala ya kujitarhmini unamwambia mbona wewe shati lako limechanika! Polepole anazungumzia mambomengine wewe unataka kusikia mengine akkili ndogo sana.
Wewe ulikuwa unajua kilichosababisha kifo cha JPM?
Ulikuwa unajua kuhusu ROSTAM na makaa ya mawe???
 
Watu wenyewe akili ndoogo
 
Pole pole amesema atazungumza tena....... stay tuned..! Anayo Mengi sana.

Mambo ni mpera mpera.................!

Na hakuna anayemjibu kwa hoja, Kila anayejitokeza mara nyingi anamshambulia personally kama huyu 'eti' akapimwe akili..!
 
Naona account za vidampa wa damage control zimefunguliwa.
 
Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa matibabu hayo.

Maana kilichompelekea kufikia hapo ni kupewa madaraka ya kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba na kutumia madaraka vibaya na baada ya yote hayo aliona hajiuzuru kabla ya skendo yake kuvuma kwa kasi.
Itaje hiyo skendo yake acha ngonjera.
 
Yani wewe ulivyompumbavu hadi unatia huruma.... mtu anakwambia boxer yako inatoa harmful badala ya kujitarhmini unamwambia mbona wewe shati lako limechanika! Polepole anazungumzia mambomengine wewe unataka kusikia mengine akkili ndogo sana.
Wewe ulikuwa unajua kilichosababisha kifo cha JPM?
Ulikuwa unajua kuhusu ROSTAM na makaa ya mawe???
We mgengese sana zingatia unapo msema mtu hakikisha unakuwa msafi kwanza
Hata yesu alisema ambae anajiamini yeye msafi awe wakwanza kumpiga mawe mzinifu ndicho nilicho maanisha
Sasa una kuja we nguruwe au kunguni unaninukia hapa naharufu yako mbaya mbwa wewe malaya mmoja
 
Sawa mngese mwenzangu uliyeungana na huyo mgonjwa kuzusha mambo ambayo hayana ushahidi kazi kuaribu sifa ya utawala
 
Back
Top Bottom