Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press.

Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA wanaona kabisa anayeongea mwenyewe anajiogopa anajificha kwenye vyoo vya wazungu kwasabu anaropoka uongo lakini wenzetu wafuasi wa chadema wanashinda wanakesha wanamsikiliza Sasa sjui wamelogwa hawa jamaa wa chadema. Wanatia aibu sana.

Nyie jamaa wa chadema Hebu kuweni civilized acheni kufanya Mambo kiprimitive primitive Kama hamna akili. Kwahyo mkimusikiliza polepole mwisho wake huwa ni Nini🤣

Mnasikiliza mradi kumsikiliza lakini hakuna outcome yyte siku zinaenda poleni Sana.
 
Nawashangaa Hawa wafuasi wa chadema wanaona kabisa anayeongea mwenyewe anajiogopa anajificha kwenye vyoo vya wazungu kwasabu anaropoka uongo lakini wenzetu wafuasi wa chadema wanashinda wanakesha wanamsikiliza Sasa sjui wamelogwa hawa jamaa wa chadema. Wanatia aibu sana.

Tahira kabisa wewe.

Kufanyia kwenye Chooo, kunaondoa Uzito wa Hoja zake??.
 
Nawashangaa Hawa wafuasi wa chadema wanaona kabisa anayeongea mwenyewe anajiogopa anajificha kwenye vyoo vya wazungu kwasabu anaropoka uongo lakini wenzetu wafuasi wa chadema wanashinda wanakesha wanamsikiliza Sasa sjui wamelogwa hawa jamaa wa chadema. Wanatia aibu sana.

Nyie jamaa wa chadema Hebu kuweni civilized acheni kufanya Mambo kiprimitive primitive Kama hamna akili. Kwahyo mkimusikiliza polepole mwisho wake huwa ni Nini🤣
Mnasikiliza mradi kumsikiliza lakini hakuna outcome yyte siku zinaenda poleni Sana.
We mbona bado unasubiri kumsikiliza?
 
Umejuaje ikiwa nawe si miongoni mwa wanachadema
 
Endelea kushangaa hivyo hivyo. Halafu endelea kujidanganya kuwa wanaopinga uhuni ni wana CHADEMA.
Kwahyo mnasikiliza mtu aliyejificha baada ya kumsikiliza mnafanya nn hebu kuweni na akili nyie nyumbu wa chadema
 
Back
Top Bottom