DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.