Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,812
- 40,297
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi.
Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa.
Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani mkishafanya dhambi zote hizi mtabakiza nini kabla hamjaondoka, hamjaondokewa au kusababisha machafuko?