Poleni watani (Wana simba!)

Poleni watani (Wana simba!)

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,750
Reaction score
86,386
Mpira kwangu ni burudani tena haswa timu hizi mbili zikiwa zinacheza Yanga(chama langu), au simba(watani).

Nichukue nafasi hii kuwapa pole wanasimba wote kwa kupoteza dhidi ya Berkane, kusema kweli mpira wa leo ulinipa kimuhemuhe kwani laiti watani wangu wangeshinda hakika Berkane wangepaa nakuondoka kwa amani tu ila kazi na shughuli tungeipata wana yanga!..😂

Hivyo kwa upande mwengine naweza sema kelele zimetulizwa!, wakati naangalia hii mechi nilikuwa na hisia mchanganyiko zaidi sura ilinishuka pale simba alipoongoza goli la kwanza!, haloo kuna watu walishangilia mpaka nikawa naona vidaka tonge vya aina tofauti tofauti!, mwenye kifupi yumo, kirefu yumo ilimradi kashangilia tu!..😂

Soma Pia: Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205
lile goli lilinitisha kusema kweli maana walivyokuwa wanacheza Berkane niliona kuna uwezekano wa wao kuongezwa!, hamu na shauku ilinishuka goli la pili lilipofungwa lkn hali ikaniibuka baada ya kukataliwa!.

Yote kwa yote huu ni mchezo tu!, binafsi huwa nasema mimi shabiki sina nafasi kuubwa sana yakuamua timu yangu ishinde ama isishinde hivyo moja kwa moja huwa nakuwa tayari kukabiliana na matokeo yoyote na timu yangu itakayoyapata!.

So najua mnavyojisikia, najua pia mngejisikia vipi laiti kama mngelinyanyua kombe hili!, Niwape pole na sasa tugange yajayo huku mara hii tukiangazia michuano myengine tutatoboaje huko kimataifa.
Kwa nafasi ya upendeleo kabisa wanasimba hawa wawili nipende kuwapa pole ya karibu...
Kalpana
Mshana Jr

Niwatakie heri timu zote kwa misimu myengine ijayo.
 
Screenshot_20250524-170531~2.png
 
Ratiba ilisema wataingia ikulu zenji,ikulu dar na msimbazi nyumbani,ninawasubiri msimbazi,sitarajii kuwa wataivunja hii ratiba ya mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom