JAMHURI :
Kashfa yamkumba Naibu Spika - Ndugai !
• Mwanamke " mgeni wake " adaiwa kumkopa maelfu ya Dola kitaalamu
• Yeye amgeuzia kibao mtumishi wa ndani, amsweka rumande siku 7
• Mtumishi wa ndani afukuzwa, aielekeza JAMHURI kila kilichotokea
• Walinzi wawili wa kike wasimamishwa , mishahara , posho zafyekwaa
Hii ni promotion ya huyu mchumia tumbo Manyerere. Hakuna kitu kama hicho! Ni yaleyale ya mambo ya misukule na waganga feki wa kienyeji! Kama kuna mtu kanunua yote si wachapishe tena hiyo habari na tena na tena na tena!Ilishatokea tena huko nyuma wakadai kuwa tukio hilo limewafanya wajenge website kwa kasi kubwa na anwani yake ni www.jamhurimedia.co.tz.
Hata hivyo, hiyo website haipatikani.
Bongo full of ngonjera. Hard to trust anyone.
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.
Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.
Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.
Ni mambo ya kusikitisha.

Ili kuwa tajiri mwezi huu fanya hivi kila wakinunua wewe chapa taarifa ile ile kwa ajili ya kesho yake hadi uwe tajiri ndani ya wiki tatu zijazo. Cheza na Jamhuri weye!!!
Manyerere Jackton weka Link acha ubabaishaji km ni Issue ya Pembe au huyo tajiri Ojungo wa arusha si ungetuwekea hata humu JukwaaniWeka mtandaoni. Hii ni karne ya digitali hata wakinunua nakala zote haisaidii. Weka link ya gazeti bwana Jacton Manyerere.
Lakini na wewe uache woga....andika wahusika tuwajue na uachane na neno "FULANI"
Manyerere Jackton weka Link acha ubabaishaji km ni Issue ya Pembe au huyo tajiri Ojungo wa arusha si ungetuwekea hata humu Jukwaani
Mara nyingi Mzee wa Kwembe tunakuamini na umeingia humu kwa nia hiyohiyo kwa nini usilimwage gazeti zima?