Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.
Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.
Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.
Ni mambo ya kusikitisha.

Sisi wengine toka lianzishe tunalisikia tu. Hembu tuwekee hio habari yenyewe tuone ilikuwa na issue gani hasa !
JAMHURI :
Kashfa yamkumba Naibu Spika - Ndugai !
• Mwanamke " mgeni wake " adaiwa kumkopa maelfu ya Dola kitaalamu
• Yeye amgeuzia kibao mtumishi wa ndani, amsweka rumande siku 7
• Mtumishi wa ndani afukuzwa, aielekeza JAMHURI kila kilichotokea
• Walinzi wawili wa kike wasimamishwa , mishahara , posho zafyekwaa