Mnastar jr
Member
- Dec 29, 2016
- 99
- 53
hivi kweli mtoto kama huyu unamfanyaje ili awe sawa na wenzake?
hii ndio inaitwa kiswangilish. Kazi IPO.hivi kweli mtoto kama huyu unamfanyaje ili awe sawa na wenzake?
Kibaya zaidi watoto haohao wenye IQ za hivyo ndio watovu wa discipline, kwa hiyo hawasaidiki ,wangekuwa wanakosea kwa sababu nyingine sawa lakini indiscipline inayotokana na dunia ya utandawazi unaosababisha watoto nao wanataka kukimbia sawa nayo kupita hata spidi ya kuelimika kwao!Daah kweli walimu wana kazi
uko sahihi mkuuKibaya zaidi watoto haohao wenye IQ za hivyo ndio watovu wa discipline, kwa hiyo hawasaidiki ,wangekuwa wanakosea kwa sababu nyingine sawa lakini indiscipline inayotokana na dunia ya utandawazi unaosababisha watoto nao wanataka kukimbia sawa nayo kupita hata spidi ya kuelimika kwao!
Uncle mshahara ni mzuri shida gharama ya maisha huku mtaani ni kubwa mno... Na kumbuka kizazi hiki kuna watoto wanakwenda secondari hawajui kusoma na kuanzikaNikipewa mshahara mzuri ataelewa tu
Apo sasa ndio elim inaenda kupotea LA saba anaandka ivo LA sita itakuajengoja system ya kuishia la sita ifike,
hata kuandika maandishi yenyewe watakua wanashindwa