Poleni wa majuu na baridi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poleni wa majuu na baridi.

Discussion in 'International Forum' started by Yo Yo, Dec 22, 2008.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.

  Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol

  Poleni wa Midwest Chicago,Twin cities MN,Detroit,Toledo,Columbus,Potland,Boston na kwingineko.Mkishindwa masnoo karibuni tule vumbi.
  Tuambiani experience yenu ya kuishi kwenye masnoo chungulieni dririshani mfotoe mapicha ya snoo alafu mtuwekee.

  [​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mpe pole Nyama Hatari.....
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mjuba yuko wapi MN,WA,MA,OH, au wapi?
  after all ww unapeta mpaka unachoma nyama na akina lola.
   
 4. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  The coldest december in 30 years is about to end in the UK, thanks God!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hehehehe..yeah...Lola Luv yuko hapa until after Christmas....wenye ku hate jinyongeni...

  Jamaa yuko Sverige....
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hii kitu ingetokea huku kwetu bongo kwa hali duni ya maisha ya watu wetu na serikali zilivyo careless, nina imani tungekiona cha moto....Mungu mkubwa kila mtu anapewa mzingo kulingana na nguvu za kubeba..
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tushapoa mkuu maana ilikua sio mchezo.
  Kwa sasa tunacheza na freezing temperatures tu!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,450
  Trophy Points: 280
  Mkuu Yoyo si kweli watu wanashindia biskuti na vipapatio vya ndege na mafua ndiyo ugonjwa unaowasumbua watu. Msosi ni pumzi yako tu unless unataka kusave 99.9999% na hata kama unaishi sehemu zenye baridi kama unajishindilia vizuri basi mafua utayasikia kwenye bomba tu lakini kamwe hayatakusumbua lakini kama unaishi kwenye baridi na kutaka kuvaa kama uko Dar basi siyo mafua tu yakayokusumbua unaweza hata kurudisha namba.

  Watu wanaenda kujirusha kwenye vilabu mbali mbali, wanaenda makazini (kama snow iliyoanguka siyo nyingi sana) na shopping.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Tunao akina lola wetu wenye natural booty usipime.....

  Niliwasahau na wa Canada(frijini hawa wanaona jua kweli?) na scandinavia....pole Nyama hatari huko sitokihomu....vumilieni snoo vumbi linatisha kwa Dr mkwere.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  picha na mjengwa blog
  Ni kama mdau huyu wa Eugene, Oregon analia anataka kurudi mavumbini
   
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Met Office says cold winter may continue

  Below average temperatures are likely to continue into January after the coldest start to winter in over three decades in December, the Met Office said Monday.

  The official forecaster said in its winter weather forecast in late November that while December was likely to be cold, temperatures for January and February should be around or above normal for the time of year.

  But the cold winter now looks set to continue in Britain.

  "UK mean temperatures are likely to be below average in January and nearer average in February," the Met Office said.

  "Mean temperatures for other parts of Europe during the rest of winter are more likely to be near average, but near or above average in south-east Europe."

  The last few winters have all been significantly milder than the winters of 1971-2000 because of global warming.

  A colder winter will put more pressure on householders facing big increases in gas prices over the last few months, with most homes in Britain reliant on gas central heating.

  The Met Office forecast average or below average rainfall in much of Europe this winter, including Britain, but above average precipitation is more likely in parts of south-eastern Europe.


  Reuters.
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nyani Ngabu umepona? mpaka Tampa nasikia mnaisikilizia.....
   
 13. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwaka huu ni kiboko, yaani kuanzia ulaya, marekani hadi asia ya kaskazini, kila mtu anasema mwaka huu imezidi.

  kweli huko kwetu ingekuwa kazi kwelikweli na ndio tungezinduka tuanze kusaka maendeleo kwa dhati.

  ni kweli pitapita zimepingua yaani kila mtu barabarani anatembea kwa kasi awahi kuingia ndani, iwe ni dukani au nyumbani. na nguo zote ni za kufunika mwili gubigobi, na kujaladia ni mtindo mmoja ila chakula kinaliwa kama kawaida mkuu, usihofu.

  wengi sasa wanachukua likizo na wanatumia akiba waliyojiwekea.

  kama kuna cha kujifunza hapa ni utamaduni huu wa kujiwekea akiba ni mzuri sana hata kwetu tukiuzingatiaa.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,264
  Likes Received: 19,396
  Trophy Points: 280
  kuna wadau wapo sibiri, huko baridi -60 .
   
 15. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu, it has been cold like hell. We can't complain, it is that period of cold cold no sun.
   
 16. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #16
  Jan 7, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sisi hapa baridi imetupiga mara kadhaa lakini tumeepuka snow mpaka
  leo. Tushapewa winter advisory ya kuanzia midday na mwenzio nina
  darasa la jioni. I just hope and pray they cancel the classes maana
  I HATE driving in this damn thing.
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  Jan 7, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  mmmhhh!!!...hao hata kucheka sidhani kama wanacheka maana
  meno yataganda.Wavumilie tu jua litakuja miezi ya kuhesabu..,:confused:

  Hapa sasa ndo unatamani Bongo na jua lake.
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tungegandamana by the time kitu kinayeyuka ni harufu tu ya nyama iloharibika. hapo sasa wasirikali ndo wangejifanya wako bize na salamu za rambirambi na siku za maombolezo,msiba wa kitaifa n the like!!!
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Mnabahati sana, snow ya kwanza hapa ilikuwa December 2, 2009. Tukapigwa na nyingine tarehe 13, tukapigwa na nyingine wakati wa Krismas bila ya kusahau Mwaka mpya. Nje bado kweupee, sasa imekuwa ice. Basi ni kaazi kweli kweli unapokuwa kwenye teens.
   
 20. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #20
  Jan 7, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  I saw it on the news nikasema kweli hapafai. Now the snow has frozen..utelezi kibao.

  Sometimes I wonder kama hii kitu ikigeuka ipige Africa sijui kama
  waswahili tutapona. Nadhani Mungu alijua tu.
   
Loading...