Poleni sana Wachaga kwa kauli aliyotoa Makonda msibani

Vijitu vishamba na maskini Kama wewe akili zenu zipo ktk 0713
Wachaga na kilimanjaro ktk nchi hii ndio role modal wa karibu kila kitu sio elimu,sio pesa,sio uchumi
Kilimanjaro vijin nyumba ya kuku Ni nzuri kuliko nyumba Yako wew mshamba
Wewe acha uongo, nipo Knjaro huku sioni huo upupu ulio andika.
 
Acha unaa wewe ni mpinzani. Mbona kauli ile haikuwa na problem, sema ni utani wa wasukuma tu.
 
Makonda kawasema wachaga nao wameenda kumshitaki; na Baba Askofu wa KKKT anataka amsamehe kanisani- Hivi yale majani ya msamaha wanayowatumia wachaga hayapo tena?
Ungeuliza kuna uhusiano gani kati ya wamachame na kkkt. Jibu ni kwamba wamachame waliyo wengi ni kkkt ie walutheti na huyo askofu shoo ni mmachame.
 
Makonda kawasema wachaga nao wameenda kumshitaki; na Baba Askofu wa KKKT anataka amsamehe kanisani- Hivi yale majani ya msamaha wanayowatumia wachaga hayapo tena?
Dr Bashiru ndiye aliyemuombea msamaha kwa waumini ambao wengi ni wachaga Na askofu Dr Shoo,sasa ulitakaje?
 
Mimi sidhani kama bashite ana akili nzuri. Imebidi ni msamehe tu baada ya kugundua kuwa ana tatizo kubwa la kiakili.
 
Anaweza kuwa ametoa kauli isiyo sahihi ila sidhani kama ni mjinga labda kama umeamua tu kumtukana,he is smart ila huwa kuna vitu anakosea kwa sababu ya ujana au ubinadamu
Bashite ana akili mbovu kweli, leo katoa kauli nyingine ndio nimejua ana matatizo ya akili, lakini itamletea madhara mtaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…