Poleni sana UKAWA

Poleni sana UKAWA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12191706_1659788197639614_5657591604265499944_n.jpg
 
Tuko wengi..........na bado tuna imani one day yes.matokeo yanawalakin mkubwa saana.wenyewe wanajuwa.
 
Tuko wengi..........na bado tuna imani one day yes.matokeo yanawalakin mkubwa saana.wenyewe wanajuwa.
Waambieni wabunge wenu waanze kujiuzulu ndio tuone kuna walakini. ACHENI unafiq.
 
Waambieni wabunge wenu waanze kujiuzulu ndio tuone kuna walakini. ACHENI unafiq.

Nilijuwa tu utakuja....kama uko tayari kujadili bila ya kutumia lugha ya matusi tafadhali weka affidavit yako hapa.
 
Sasa huo siyo unafiq....anaonesha hali halisi na si lazima kila mtu awe upande huo.Sikujui hunijui lakini na kuheshimu hivyo naomba niondoke nikafanye ibada ya Asr.
 
Back
Top Bottom