Pole sana Tanganyika

Kweli mwana Nyerere alikuwa msenge sana, afu wengine wanamuona shujaa
 
Huna akili
 
Hapa sijaelewa, mafuta na dini wapi nawapi, rais akifanya vibaya atasemwa TU urais sio dini ni kazi ya kisiasa magufuli alisemwa na mkapa alisemwa ila Kuna upande hautaki mtu WA imani yao akikosea asemwe,
 
Kuna vitu umeandika kama akili zako zimehama vile, unawezaje kulinganisha Zanzibar ambayo inajitegemea kama nchi na mkoa kama kagera, ilhali unajua mkoa unapata mgao wa pesa toka serkali kuu ??
Matako yako.
😀😁😁
 
Hapa sijaelewa, mafuta na dini wapi nawapi, rais akifanya vibaya atasemwa TU urais sio dini ni kazi ya kisiasa magufuli alisemwa na mkapa alisemwa ila Kuna upande hautaki mtu WA imani yao akikosea asemwe,
Kuna watu wamejawa na upuuzi mwingi sana
 
Kwa hiyo Nyerere alitulinda tusibakwe na Wazanzibar lakini akatuacha tumeshaandaliwa, tumevuliwa nguo, tumepakwa mafuta, akaondoka. Julius Nyetere was complicitous in the rape and pillage of his own nation by Zanzibar.
 
Kwa hiyo swala la kuagiza mafuta na nishati kwa ujumla wanajisimamia? Na je, haya mabadiliko ya bei mbona wao hayajawagusa?

Unajua namna ya muundo wa muungano unaeleweka zaidi kwenye ngazi kubwa ya Urais, Umakamu na baadhi ya wizara zile nyeti kama mambo ya ndani, nje, ulinzi...

Lakini Zanzibar ni mamlaka kamili inayojitegemea kwenye mambo mengi sana haswa kwenye hizi mamlaka...

Wana ZURA hii ni kama EWURA
Wana ZRA hii ni kama TRA
Wana ZURA hii ni kama EWURA
Wana ZPRA hii ni kama PURA
Wana ZPDC hii ni kama TPDC
Wana ZESCO hii ni kama Tanesco
Wana ZCSRA hii ni kama RITA...
n.k

Sasa maajabu ni kwamba kwenye kila Z unayoiona inasimama badala ya Zanzibar, wakati kwenye kila T ni Tanzania lakini mamlaka zake hazifiki Zanzibar kiutendaji 😁
 
Sasa maajabu ni kwamba kwenye kila Z unayoiona inasimama badala ya Zanzibar, wakati kwenye kila T ni Tanzania lakini mamlaka zake hazifiki Zanzibar kiutendaji🥺🥺🥺🤬
 
T inasimama badala ya Tanzania ila mamlaka hazifiki huko Zanzibar, kwa hiyo huu muungano ni kama fiction tu! Muungano wa nchi mbili, ila moja haionekani iko wapi.
 
SITTA na LUKUVI walisema muungano hauwezi kufa kwa sababu ugaidi utaingia zanzibar na zenji ipo karibu sana na dar es salaam. 😁 jana ufunguzi wa mwenge kusini pemba, zimepigwa nyimbo tatu (zenji,TZ, East africa) watanzania bara a.k.a watanganyika sjui walikua na hali gani jana 😁
 
Sasa maajabu ni kwamba kwenye kila Z unayoiona inasimama badala ya Zanzibar, wakati kwenye kila T ni Tanzania lakini mamlaka zake hazifiki Zanzibar kiutendaji🥺🥺🥺🤬
kwa maneno ya TAL tanganyika ilijivika joho la tanzania kwa amri ya mwalimu nyerere
 
mbona sasa kwenye bandiko hilohilo na wewe unaponda wakristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…