mnh! Haya lakini kwangu bado kabisa... kwanini asingetafuta namna ya kujinasibisha na uanaume?? Mathalani, angejiita Designer Kidume Cha Mbegu... hapa huenda angevutia dadaz lakini bikira... walah atakuwa anawavutia mafirauni!
Huyo nae ndo nani sasa?
I know... wengi wao ndo hivyo tena, wengi wao ni chakula pendwa cha mafirauni! Lakini anyway, ana haki ya kujichagulia jina limfaalo kwa tafsiri yoyote! Tatizo ni sie wenye asili ya ufukweni yaani tupo very sensitive!!Ila si unajua fashion desgners wengi wako mbali na uanaume?
Labda ts a matter of time, he ll come out of the closet....
nchi ina vituko hii, we acha tu! Yaani tangu uwepo wa Instagram maselebriti wanaongezeka kila uchao!Huyo nae ndo nani sasa?
Kujulikana ni kitu kimoja na kuwa na connection ni kitu kingine! Kujulikana sawa, anajulikana, je connection anazo?Mi ningkuwa Seth ndo kwanzaa naanzisha kampuni yangu na kuandaa events zangu. Wala asiwalambe makalio, kwa mtonyo gani? Ashajulikana mjiniii ndo la muhimu. Ile kishkwambi kama mimindo Seth kabla ya pasaka nashusha kitu cha nguvuuuu Wenyewe Instagram party Seth anaanzisha Instagram bata day. MJINI MIPANGO.
Kujulikana ni kitu kimoja na kuwa na connection ni kitu kingine! Kujulikana sawa, anajulikana, je connection anazo?
mnh! We lara 1, mambo yangekuwa rahisi kiasi hicho hapa mjini nani angeshindwa kuwa mtu wa shughuli? It's true kwamba kujulikana nako ni one step forward towards kupata connections lakini connection nyingi za mjini ni zaidi ya kujulikana! Ingekuwa kujulikana ndio kila kitu Juma Nature na Wanaume Halisi yake wasingeshindwa na fitina za Said Fella! Unakuta wewe mtu umefahamiana nae ukubwani mwenzako hawakukutana barabarani kama JK na EL!!!Unajulikana ili upate connections. Maadamu keshajulikana connection sio issue. Unaenda tu kwenye makampuni unasema bwana mie flani niliandaa party flani unaondoka na mpungaa wako.
mnh! We lara 1, mambo yangekuwa rahisi kiasi hicho hapa mjini nani angeshindwa kuwa mtu wa shughuli? It's true kwamba kujulikana nako ni one step forward towards kupata connections lakini connection nyingi za mjini ni zaidi ya kujulikana! Ingekuwa kujulikana ndio kila kitu Juma Nature na Wanaume Halisi yake wasingeshindwa na fitina za Said Fella! Unakuta wewe mtu umefahamiana nae ukubwani mwenzako hawakukutana barabarani kama JK na EL!!!
Nakubali mia kwa mia kwamba kujulikana ni one step forward katika kupata connections lakini kuna mambo mengine ya msingi zaidi unatakiwa kuwa nayo! Back up team ina mchango mkubwa zaidi kuliko huko kujulikana! Na kama unajulikana juu juu tu... unaweza kukuta ni kweli michongo unapata lakini over 90% unarudisha kule kule kwa wale wale waliokupa mchongo coz' umefahamiana nao ukubwani kwahiyo hawakuonei aibu na wala hauna back up team ya wao kuweza kuionea aibu ambayo labda kinyume chake huenda mngeenda pasu kwa pasu... au labda, uwe na uwezo wa ku-generate more than too much to the point kwamba, hata kama utabaki na 5% bado ina uwezo wa kunenepesha account!Ndo UJULIKANE KWANZAAAAA. We unafikiri kwanini watu wanapiga picha za chiu ili wajulikane? Wameshindwa sababu Fella anajulikana zaidi yao kwenye marketing Industry. Unaweza kuwa unajulikana sanaa lakini na wahuni. Mi nakwambia ukijulikana ni kama umefikia 8 ya 10 kwnye kupata connections.