Siasa za Bongo matatizo,kwani kupingana mawazo na rais ni kosa la jinai au kumwaona hafai au mjinga ni uhaini! Yeye si binadamu kama binadamu wengine.Si alijigamba wiki chache zilizopita kuwa anawahitaga wa 'wapumbavu' mawazili wake, tena hadharani.kumbe mkuki kwa ngurue.
Kama kina nape na kinana walionyesha kutoridhishwa na magufuri kwa utendaji wake kosa lipo wapi,si waliongea mawazo yao priately,kwani lazima kila mtu ampende magu.Yaani anashindwa kuwahita na kuongea nae kuwaelewesha na kumaliza nao watu ambao walijishughulisha sana yeye kupata urais hata kama wamekosea!yeye kapiga kimya wanamwachie yule kiparangoto msiba aongee ovyo si busara ya kiongozi.
Inabid abadirishe style ya utawala ili kuunganisha wananchi,watanzania wamegawanyika sana kwa sasa.