Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Maskini ana tatizo gani??? Wewe ndo huna akili kabisaaaaaaa.... Unaacha kuwashauri waoe watu wenye hofu ya mungu unawashauri wasioe maskini..... Haya maskini na kutoka nje ya ndoa vina uhusiano gani
Oa mwanamke Bikra.
Usioe mwanamke masikini.

Sijui lini nitaeleweka.
 
Ndio maisha wakati wengine wanakazana wapande wengine wamechoka kukaa juu wanataka kushuka chini hata kwa lazima.
 
Wa mkoani kaumizwa
 
Ila akichepuka ambae alikuwa bikra roho huuma vibaya mno aisee.
 
Nikajua ni kitu cha maaana kumbe ushuzi. Nilidhani jamaa amekatwa kichwa kumbe analia tu. Mke wa mtu sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…