Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Salam zangu zikufikie kokote ulipo, mzee wangu mwana wa kijiji,
Umekuwa ukijitahidi sana kutumia akili, ujuzi maarifa na vipaji vyote alivyokujalia mola wako mtukufu ili kuleta mabadiliko ya kimitizamo, kifikra,kiuchumi, kisiasa na kijamii.Pole sana mzee mwanakijiji!
Kwa bahati mbaya wale ambao umekuwa ukiwashauri wakati wote, si watu ambao wanataka hoja bali.....!
Pole sana mzee wangu!
Hata hivyo kinachonifikirisha, kunisikitisha na pengine kunifanya niwe mnyonge zaidi: nipale ninapojiuliza kwamba ni nini kilichokufanya ukawie namna hii kuelewa kwamba hawataki hoja na hivyo hawataki kuulizwa maswali achilia mbali kuyajibu!
Any way! nafikiri kinachokustahili ni kukupa pole tu ndugu yangu, ila bilsha shaka sasa utakuwa umejifunza jambo moja kubwa ambalo naamini hapo kabla ulikukuwa haujalijua au kulitilia manani.Hata hivyo sikulaumu kwa kuwa kila siku binadamu ni kiumbe wa kujifunza!
Niwatakie kila la heri wote hasa mzee wangu na wazee wengine wenye ndoto kama za mzee wetu huyu.