Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,469
- 283,859
Norma sanaHeche alimwambia Polepole kama mwaka 2020 tungekueleza kwamba kuna siku utakuja kutekwa usingewahi kukubali wala kuamini kwamba utekaji upo na yoyote anaweza kutekwa.
Nini kimetokea?Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja.
Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika
Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa wasanii waliokuwa wanatumbuiza kwenye Kampeni za Samia 2025 huku akiwa kavalia fulana na Kofia ya SSH
Usiondoke jfNini kimetokea?
Eleza sasa tupata taarifaUsiondoke jf
Wapumbavu sana hawa manyumbuKwahiyo ilibidi akatae kazi .?
Issue ya binamu yake kuuliwa Haina uhusiano na kazi zake binafsi .
Hauwezi ukawa msanii uka turn down deal kisa siasa uchwara.
Nashangaa wanafichaTudokezee mkuu
Taarifa zipo ktk fingertips waweza tafuta na ukajua nini kimetokeaNashangaa wanaficha