Pole sana mama yote ni maisha

Pole sana mama yote ni maisha

Mkuu samahani kidogo niulize swali uyo mama ni kabila gani kwanza mana nimeshangaa sana
 
Fizo talent uangalie vizuri ushauri huu mkuu hakika utazd kubarikiwa.
Mtoa mada kama una vijisenti kidogo msaidie huyo mama yenu ambaye aliwalea wakati wadogo na Mungu atakulipa sana. Malezi, mafunzo na uangalizi alioufanya pindi mkiwa wadogo ni makubwa sana kuliko hata ada ya Chuo kikuu na yeye aliyafanya bure tu. Ukikua utanielewa
 
HaaaaaH the more the black the more the mikosi!! dunia ina mambo sana. Sasa mkosi kakutana nao live
Hahaha sijui alikuwa analiwa na house boy kimya kimya ---house boy akampachika mimba -ila bimkubwa akashindwa kujua kuwa Mimba sio ya mumewe akailea Baada ya Kuja kuzaa mtoto aka muumbua
 
Mdigo mkuu
Mkuu kabla hilo sishangai wanapenda sana waarabu hata mimi nilishawahi kukutana na ka bint ka kidogo tatizo wana penda sana kuzaa watoto wa rangi rangi nywele ndefu basi hapo ndio wao wanajiona wa maana.
 
Bika shaka hawa watakua ni wale ndugu zetu waumini wa dini ileee maana wao wanawake hata wakiachika hawawezi kukituliza lazima watafute wakuaoa tena kwa mara ingine...
Wa kwenu wanakituliza?
 
Sijui kwa nini mwanamke akikataa kuolewa lazima apigwe Laana!
 
Inasikitisha sana...

Ila mlivyomuangalia huyo mtoto hakufanana na baba yako kweli??


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom