Huna lolote wewe, mbona mahakama zinatetea wananchi wanaobolewa na serikali inaheshimu? heshimu mahakama bwana.kama umeya tu wa Ilala na Kinondoni ccm hawataki kuuwachia.. eti tunasubri waachie zanzibar, pole sana maalim self.
mahakama ile ile iliyotupa pingamizi la madai ya UKAWA the same mahakama imekubari pingamizi lile la CCM.