Pole sana Lissu

Pole sana Lissu

justin mwanshinga

Senior Member
Joined
May 22, 2014
Posts
179
Reaction score
621
4c0d42c19fda6dbf9789758118d988ae.jpg
 
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja hivi alikuwa na njumu halaf mpira ni wake na kucheza hajui ni rafu tupu uwanjani na mkimzingua anaondoka na mpira wake basi ni lazma acheze mpaka mwisho wa mchezo.

Ni hatari sana aisee.
 
Ndio itakuwa vyema ukibambanua kwa wenye vichwa vigumu kama changu au unazungumzia athari atazopata lisu kutokana na mkutano huo
Yaweza kuwa na tofauti zaidi ya moja.
Tafsiri yangu ni kuwa Lissu ajiangalie kwani Lowasa yupo tayari kuishi akiwa ana umia.
 
Yaweza kuwa na tofauti zaidi ya moja.
Tafsiri yangu ni kuwa Lissu ajiangalie kwani Lowasa yupo tayari kuishi akiwa ana umia.
Lowasa ameumizwa kivipi? Na lini aliwahi kuumizwa?
 
47032b5ce1527ec8b537235330e51067.jpg

Maneno ya wenye busara..
Penye kusifia Sifia na penye kukosoa kosoa..
 
Back
Top Bottom