Pole pole sio huyu wa CCM mwenye magari

Pole pole sio huyu wa CCM mwenye magari

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,181
Mkuu Huyo polepole wa mabasi sio Humphrey huyo wa ccm, huyu jamaa polepole anaitwa Massawe anaishi Kata ya Babati mjini mtaa Nyunguu amewekeza sana Babati ana truck za mizigo za kutosha,

Ana maduka ya vifaa vya umeme na phone's accessories makubwa tu yapo Babati mjini
Lakini pia amewekeza kwenye Mali zisizohamishika (ana nyumba maeneo mbalimbali amepangisha kwa watu nyumba za kuishi lakini pia ana guest houses za kutosha kwa Babati zimeandikwa Pole lodge utakuta Pole 'A' Pole 'B'n.k)

Na pia hizo buses zinapiga routes za Arusha-Moshi- Nairobi zikitokea Babati lakini pia Dodoma na Singida to Dar zikitokea Babati

huyu jamaa namfaham sio mkubwa kivile anaeza kuwa kwenye 40's alikuwa anatumia gari ndogo kutembelea Suzuki vitara black in colour miaka ya 2000's sijui kama kabadilisha now ILA sio pole pole wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nianze kuziona Polepole Classic sikuwahi kudhani kama ni za Chakubanga, nina Imani ni za mtu mwingine kabisa.
 
huyu wa ccm ni mzee-kijana mshamba mshamba sn hawezi kumiliki hivo vitu
 
Upo sahihi mkuu,polepole wa mabasi yuko babati na duka lake lipo pale stendi imeandikwa pia polepole halafu kwa magari ya asubuhi kwenda arusha utamwona sometimes akisimamia na kupokea hela,jamaa ni mweusi hivi umbo la wastan
Mkuu Huyo polepole wa mabasi sio Humphrey huyo wa ccm, huyu jamaa polepole anaitwa Massawe anaishi Kata ya Babati mjini mtaa Nyunguu amewekeza sana Babati ana truck za mizigo za kutosha,

Ana maduka ya vifaa vya umeme na phone's accessories makubwa tu yapo Babati mjini
Lakini pia amewekeza kwenye Mali zisizohamishika (ana nyumba maeneo mbalimbali amepangisha kwa watu nyumba za kuishi lakini pia ana guest houses za kutosha kwa Babati zimeandikwa Pole lodge utakuta Pole 'A' Pole 'B'n.k)

Na pia hizo buses zinapiga routes za Arusha-Moshi- Nairobi zikitokea Babati lakini pia Dodoma na Singida to Dar zikitokea Babati

huyu jamaa namfaham sio mkubwa kivile anaeza kuwa kwenye 40's alikuwa anatumia gari ndogo kutembelea Suzuki vitara black in colour miaka ya 2000's sijui kama kabadilisha now ILA sio pole pole wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Upo sahihi mkuu,polepole wa mabasi yuko babati na duka lake lipo pale stendi imeandikwa pia polepole halafu kwa magari ya asubuhi kwenda arusha utamwona sometimes akisimamia na kupokea hela,jamaa ni mweusi hivi umbo la wastan

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Yaa duka lake lipo karibu maisha mapya near to ofisi za mtei stand ya zaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20200409_105413_8.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom