Swali kwa Mzee JSM. Je utakuwa msitari wa mbele kwenye kampeni za CCM kuhakikisha mnashinda uchaguzi ujao kwa kishindo hasa kwenye jimbo la mtera kuhakikisha linaendelea kuwa la CCM? Je hutakuwa na kinyongo chochote baada na mambo haya yote kukutokea?