hahahah, ungekuwa wewe ungefanyaje? hahahahah
Ila ni story tu ya utani sio kweli. hahahahahahaAisee! Inahuzunisha π§π§π§π§
hahahah, leo hujaandika AHSANTE KWA TAARIFA. hahahahahahahaahhWrite your reply...Japo sijasoma lakini inahuzunisha
Niliona watu wameweka uzi kulalamikia hiyo. hahahahahaahahahNilipigww ban mama
He he he heBilionea Asigwa ungekuwa wewe ungefanya nini? hahahahahahahaah
πππππππHe he he he
Hapo ningedai nauli mara 5 zaidi.
Halfu dogo ningemtakia kazi njema.
Nagoma kulipa hela.πππππππ
N aje ikiwa wewe ndie dogo? hahahaha
πππππππNagoma kulipa hela.
Halafu namwambia mshua hela yake ntamlipa nyumbani
ndioKumbe
hhahaahahahah. Ila wakurya si watu wa ajabu anaweza kumsifia "kichana" wake kuwa ni kudume.Hakuanguka na kuzimia?
Halafu ukute dingi mwenyewe mkurya
hhahaahahahah. Ila wakurya si watu wa ajabu anaweza kumsifia "kichana" wake kuwa ni kudume.
hahahah
πππππππAkusifie tu hapo ila kimoyon
Moyo anakwambia "tutakutana nyumba"
Nilikutana nae kwenye daladala za MakumbushoUlimfata kwa maana uli MFOLO au uli mfata PM kuongelea suala lako? hahahaahahaππππ
π³π³π³π³ hayaNilikutana nae kwenye daladala za Makumbusho