Naona vijana wamechoka kuwa Taifa la kesho... Chadema Zitto anataka kuwa rais, CCM January Makamba, Nccr ni Kafulila. Ngoja tuone vibabu vs tuvijana...patamu hapo.
kamanda mbona iko edited...plz mshauri january nyota yake imefifi kama ya membe na sumaye atulie,hapo alipofika ni msaada tu wa baba yake kutumia ukatibu mkuu wa chama kujinufaisha na familia yake,hana sifa zozote za kuwaconvice watanzania kiutendaji hana creativity yoyote pia hatuwezi kuongozwa na mtu aliyepata div four form six the guy ni kilaza kabebwabebwa tu,afanye kazi tuzione ndio japo atakuwa recognazed kama akina mwakiembe au magufuli
Ndugu wana jf na wa Tanzania kwa ujumla ,leo katika sikukuu hizi za Noel na Mwaka mpya na taka niwapashe yaliyo jili katika jijij la Mwanza .Jana nili bahatika kukutana na January Makamba katika hotel ya Victoria Palace,alitukusanya tulikuwa Wachungaji na Wainjilisti 152 kutoka kakitika madhebu mbalimbali ya kikristo katika mikoa ya Mwanza,Geita,Shinyanga,Mara,na Kagera.
Blaza mbona una stress sana?
Kama unamchukia January basi jiandae maana utastresika sana. Ndio kwanza kunakucha.
Mtoa mada,,,haya unayoyauliza hapa ulikosa wasaa wa kumuuliza????ulijua unahongwa ukapokea????Januari ana ukurasa wake wa fb,tweeter,nenda kamuulize,,,,nyie viongoz wa kidini ni wanafki tu,unataka tujue kuwa ulikua na Januari???mxiuuuuuuuu
Yani Magelegano wanampumbaza mtu kuwa anaweza kuwa Rais wa Watz,ili wamtumie,asante JF kwa kumwambia ukweli huyu dogo na bado watafunguka wajitambue ila kwa sasa acha wanedelee kusaidia kufungua macho ya watanzania.Sometimes mambo kama haya yakitokea kwenye Taifa yanasaidia kufungua ulimwengu wa fikra na kupanua pia uelewa wa umma kutambua mchele, chuya na pumba.Japokuwa si mchakato mzuri pale mtu wa ndani ya Taifa anapokuwa na ajenda na watu wa mataifa ya nje.Nyakati hizi Urais unaonekana ni kazi rahisi sana...Ktk nchi ambayo inamatatizo ya kimfumo, umasikini umekithiri, Rasilimali zinanyemelewa na mataifa makubwa, changamato kibao za kukabiliana nazo kamwe huwezi kumkuta mtu mwenye mapenzi mema kwa nchi yake akitamani Urais...Unless kuna watu watakuwa wamemtuma na TOR ameshaisoma kaipima na kuielewa... Mabilioni ya Uswis may be....
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
Wajinga ndiyo waliwao,usijifanye hukufundishwa methali za wahenga wetu katika ujumla wa Elimu yako!Huyu mtumishi amekubali kuhongwa, kula posho ambayo yeye anaona hatoweza kuifanya kazi alotakiwa kuifanya , maadili ya kazi yake yanasemaje kwani ? alipaswa kuacha ile 50,000/=alafu pale pale angesimama na kusema hakubaliani na kile kitendo huo ndio uzalendo, sio hela amekula, hoteli amelipiwa na mambo mengine ambayo ameyafanya kwa gharama za january alafu anataka aonekane hapa eti mjasiri.
selemani ok mwenzio wa dini yetuBlaza mbona una stress sana?
Kama unamchukia January basi jiandae maana utastresika sana. Ndio kwanza kunakucha.
Haya Haya Waliobisha Woooooooooooooooooote