Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Mbona kama wew ndo unatesekaPoleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
Na kwakoo piaa mamiiiiWachaaa[emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Sabato njema wapendwa.
Mbona kama wew ndo unateseka
Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
Huwa inatokea, ni pigo za kawaidaaMbona kama wew ndo unateseka
Umejitokezaa dear ex[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dear ex upoooo!!!!...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mkuu nimalizie hili zinga la faru johnKwani ni vipi mkuu funguka basi tupate darsaa
Uchumi wa kati umekuja na mambo mazitooNjoosha Maelezo
Tupo Kwenye Light Track
Mambo Ni Moto, Uchumi Wa Kati
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Embuuuuu ukoooo...dear ex anajijuaUmejitokezaa dear ex[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asantee mamiii...yatakwishaa lakiniPole kwa kuteseka
Kwani bado hayajaishaaa?Asantee mamiii...yatakwishaa lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee umeukataa ujumbee daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Embuuuuu ukoooo...dear ex anajijua
SawaUchumi wa kati umekuja na mambo mazitoo