Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Mzigo uliotua kwake ni lishe tosha ndio maana anashukuru
 
Ni safari ndefu
Mkuu hebu jaribu kuninyambulishia hasa kama wewe wanawake huwa mnamaanusha nini ?
Kweli hii kauri imenitesa muda mrefu ndo maana nikaianika hapa jamvini
 
Hahahahaaaaa, ina maana kama ulitoa 5000, uongeze kidogo au?
Tatizo mkuu sio wale wa pesa wa pesa nimeshajaribu hawanaga hizo tena swali yao hi hili
"Hujamalizatu"
Wale hawanaga pole kabisa mkuu maana wanapenda kibao kimoja tu kile cha kwanza hawataki cha poli maana wanasema huwa tunakawia kupiga bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…