Poland: Vikwazo kwa Urusi haviiumizi

Poland: Vikwazo kwa Urusi haviiumizi

Wewe tuu ndo hujaelewa ila sisi tulio wengi tumeelewa
Sawa! Wewe uliyeelewa hebu nifafanulie kimantiki na kwa usahihi hiyo tweet ya Waziri Mkuu. Maana taarifa iliyoletwa imenukuu tweet kwa tafsiri isiyo sahihi!

Karibu kwa ufafanuzi!
 
Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.

Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Kwa hiyo unadhani wao hawakulijua hilo.
 
wengi na nani?sema wewe nafsi yako mkuu.
Tugeukie kwako sasa, wewe umezielewaje hizo nukuu zilizopo katika taarifa uliyoileta?

Mimi nimesema kuna makosa katika kunukuu na kutafsiri kauli za huyo kiongozi, wewe unayeona kuwa tafsiri ziko sahihi, karibu unifafanulie ili nami nipate kuelewa!
 
Kwa hiyo unadhani wao hawakulijua hilo.
Hawakujua wao walifahamu kwamba ndani ya siku tatu tu wangemaliza mchezo wanashangaa sasa wamekuwa completely bogged down hadi majenerali wanane wamefukuzwa kazi.
 
Hawakujua wao walifahamu kwamba ndani ya siku tatu tu wangemaliza mchezo wanashangaa sasa wamekuwa completely bogged down hadi majenerali wanane wamefukuzwa kazi.
Siku tatu? US na washirika wake Dunia nzima walitumia mudagani walipovamia Iraq?
 
Back
Top Bottom