Poland: Vikwazo kwa Urusi haviiumizi

Poland: Vikwazo kwa Urusi haviiumizi

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,596
Reaction score
3,442
Waziri mkuu wa poland amesema vikwazo walivyoiwekea urusi havina maana yoyote,kwani urusi haiathiriki kama walivyotarajia,na thamani ya pesa yake inapanda,fungua screenshort hapo chini,wamarekani wa mbagala rangi tatu karibuni..
IMG_20220402_185954.jpg
IMG_20220402_190042.jpg
IMG_20220402_190123.jpg
 
Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.

Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
 
wewe unajua hili ila PM wa POLISH halijui hili?
inashangaza nakufurahisha
 
Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.

Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Kama wazili kasema hivi wewe upo tandale yemen unasema hivi nani tumsikilize waziri au wewe wa tandale yemen
 
Tatizo ni chanzo chako cha taarifa. Taarifa ina makosa mengi ya kiuandishi. Hata contexts za kauli zilizonukuliwa na hicho chanzo hazijaeleweka na walio wengi humu.
 
Waziri mkuu wa poland amesema vikwazo walivyoiwekea urusi havina maana yoyote,kwani urusi haiathiriki kama walivyotarajia,na thamani ya pesa yake inapanda,fungua screenshort hapo chini,wamarekani wa mbagala rangi tatu karibuni..View attachment 2173148View attachment 2173149View attachment 2173150
tofauti ni moja upande mmoja hauna uhuru wa maoni ( Russia ) kuiongelea vibaya serikali hatima yake ni kifo so serikali zinapika taarifa tu bila kujali hatima ya raia wake na upande mwingine kuna uhuru wa maoni au kujieleza ( west )
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 magazijuto FOMYULA
 
Waache kupeleka bidhaa yoyote urussi mpaka toilet paper Na dawa ili tuwaone
 
Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.

Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.

umezan ndo nchi yako mnayoagiza china had tooth stick
 
Back
Top Bottom