Pokea zawadi hiyo ya xmass

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Hay best zangu wa jf

Pokeeni zawadi ya xmass nimewatumia kwa furaha na upendo wangu wote.

haya kingeni mikono miwili mpokeee jamani



kama mtaitaji niwatumie mengi mtaniambia yanafaa kupamba kwa msimu huu wa xmass
maalum kwenu wote wanajf. JE MMPENDA?
 
Nashukuru kwa kuipenda maana imenisumbua kwenye ndege jet mwenzio waliniambia nipande meli eti kwani mzigo ni mkubwa
 
shukrani, maana hapa kwa ustadi mkubwa nimechonga vizuri "skrini" ya dadavuzi yangu na kufanikiwa kutupandua huto tuzawadi...
 
NASHUKURU KWA KUPOKEA HIYO ZAWADI BEST WANGU watu8
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa ukupokea hiyo zawadi KARIBU kuleeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ingawaje umeniponda sawa ila mkaka usifanye hivyo jamani wakati mm nimekuja kwako vizuri na kukutupia hayo maua mlangoni halafu wewe unaisagasaga jamani watu8
 
asante kwa kupokea marry karibu home
 
ingawaje umeniponda sawa ila mkaka usifanye hivyo jamani wakati mm nimekuja kwako vizuri na kukutupia hayo maua mlangoni halafu wewe unaisagasaga jamani watu8

mbona nimeyatia kwa mug yenye maji...huyo alotupa atakua Erickb52
 
Last edited by a moderator:
kwani hupajui jamani unataka wanajf wajue unakwenda wapi kuleeeeeeeeeepm
 
basi sikuona vizuri, umemjuaje kuwa ni erickb52 kwani ana tabia hizo niini?
 
mhm! ma'nga'na unamaanisha nini mbona sijakupata kabisa hapo? watu8
 
Aisee nimeyatamani ghafla ni mazuri sana
 
mhm! ma'nga'na unamaanisha nini mbona sijakupata kabisa hapo? watu8

yaani haeleweki...halafu mbona kuleee hupatikani hebu futa futa basi baadhi maana naambiwa zimejaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…