Pokea simu basi

Pokea simu basi

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
grrr.jpg
 
Baby naomba 50000/ nikasuke..tuma na yakutolea😎!
Bby nimejikuta sijableed nitumie laki 2/ niflash🤒
Bby next week ni bdy yangu nifanyie sherehe...mbaafu
 
Niandikie haya maneno kwenye simu yangu sms ili nikurushie iyo hela 😛
 
Love wangu.. Najiskia kumiss period!yaan hapa nimedata. Sijui itakuwaje .kina rafikiyangu kanieleza kuna dawa zinatoa...znauzwa laki 1..nitimie sasa hv na ya kutolea..alafu luku imeisha!😎
 
Nilikwambia utume kwenye sms ya simu sio hapa tumia ile laini yako ya airtel au voda maana ndio inapatikana sana 😎
 
Back
Top Bottom