Kwa kuangalia serial number ya vocha hizo, nina uwezo wa kung'amua zimeingizwa kwenye simu yenye/zenye IMEI gani na hata kwenye namba gani za simu, hivyo nina uwezo wa kuanika jina halisi la mwenye ID hii ya na hivyo kuweza kufuatilia post zake na mlengo wake, kama ni wa kuiunga mkono au kuikosoa serikali