Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Hahhahaha mie ni msemaji mkuu wa boss atoto. Kwa hiyo Nipo kazini hapa, so lazima nitenganishe maisha/misimamo yangu binafsi na kazi. Nisipokomaa ntalipwaje mshahara?Naona unaambukizwa taratibu lakini kwa hakika
Deni nitalipa weekend wangu. I'll pay in kind. Wala usijali...
..tutaanza na nini vile, madikodiko...(((((nisiseme mengi nikapeperusha ndege wangu wa weekend.Ole wako unidanganye, na kwakuwa deni ni la muda mrefu nitaitaji na riba kabisa.
mwisho utakuwa na tabia za bosi wako..Hahhahaha mie ni msemaji mkuu wa boss atoto. Kwa hiyo Nipo kazini hapa, so lazima nitenganishe maisha/misimamo yangu binafsi na kazi. Nisipokomaa ntalipwaje mshahara?
..tutaanza na nini vile, madikodiko...(((((nisiseme mengi nikapeperusha ndege wangu wa weekend.
....then ndio nitaanza kulipa madeni yote, jmosi hadi jpili usiku si nitakuwa nimemaliza kweli..
mwisho utakuwa na tabia za bosi wako..
mi naangalia tu, afu nitamuita nanihii athibitishe live on air!!
Awwwww thanks boss ladySikukosea kukuajiri, nitaongeza mshahara.
Hapana brod darlin. Huyu amekuwa ni boss wangu kwa mwaka wa kumi now, na sijabadalika kwa chochote teh shahidi yangu nanhii. Atakwambia tu mie bado mtoto mzuri milele daimamwisho utakuwa na tabia za bosi wako..
mi naangalia tu, afu nitamuita nanihii athibitishe live on air!!
Anashangaa Unavyodanganya
Apologise lady ukuje huku unaitwa na huyu bwanaNaomba Niitie Apologise Lady au mwambie Anipm muda wowote
Unauliza Jibu kaka, mimi naishi kigamboni karibu na Chadibwa beach na Maji nishayaoga sana
Sio weakness jamani ni mapenzi tu na ndio tunayoyapenda sieNever be this weak for a woman!