Tunga wimbo wako mtoto atakuelewa tu, hakuna mkate mgumu mbele ya chai
kwa atoto hapo bora ungeutafsiri kwanza... hakawii kukujibu and you too!!!
We atoto, kuja huku. iko itwa.
Kaazi kweli kweli....
Kitambo baba paroko, heshima yako
Mie mzima....Nipo sana mbona?
Naona tunapishana tu....
Mzima wewe?
Embu nambie mm basi nimsaidie kuelewa
Hahahaaa sio unisaidie kumuelewesha!!
Heaven Sent habu njoo unitafsirie hii mambo mie hata sielewi.