Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,383
Only a woman knows a woman. Kama mama yako anaona mkeo ni mtalii tu na si wa kuoa ama kuingia ndani ya ukoo kwa nini asimfundishe what to do na katika kufanya hivyo kuna kejeli za hapa na pale because Mama anataka mwanaye aishi kwa amani na furaha na mkewe na ndiyo maana kina mama wengi wanafanya hivi. This is my take. Kwa mademu walio wengi hapa Bongo hiki kitu lazima watakiona kuwa ni kero because they know they are NOT worthy kuwa wake as most of them ni watalii wa ndoa and are in marriage because of security not mapenzi, a mother can detect this na mara nyingi wanatumia psychology kuwaudhi wakwe zao ama kuwapima. Niwaulize nyie kina mama, nani kati yenu yuko radhi mwanae aoe changu doa ama mtalii wa mapenzi? Na je kama hamko radhi, mkiingilia ni makosa? Si mnataka mwanenu aishi kwa amani na mkewe, so how do you help him?