Kuna button ya kuificha pointer ipo ktk hizo button za mstar wa kwanza kabisa karibu na kioo/speaker kama unatumia toshiba. Hold FN button alafu ibofye utaiona pointer yako.