Mleta mada naona umekosa hata cha kuongea masikini...
Siku tulipovunja uteja kwa Man U,tuliwapiga goli nne kwa moja pale kwa OT.Na tangu hapo tukawa tukikutana nao tunakuwa na uhakika.
Na sasa tumevunja uteja kwa Arsenal kwa kumfunga goli tano kwa moja,tukutane tena Emirates tarehe 16.
"Nlikuwepo":bolt: