Pogba kutua United

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Wale wenzangu na mimi wabishi sasa yamekuwa pogba asilimoa 110 % anaenda zake aon Carrington

wengi walibisha tena wapinzan lkn no way but is it true that paul pogba weathier 100 mil pound?

the answers always is yes.

He is a marketing
 
I agree with you lad, although some guys might feel this as rubbish...

paul pogba weath much more than 100 mil poundselling clause. He is just 23yrs remember, and as player of that shape want to join man utd a term that is not going to champion to MU is advantage as business is gonna be much advatisable
 
Mashabiki hatuna shida na hela,tunachotaka ni timu ishinde na kuchukua vikombe..
 
Kama timu inatumia sana hela na inachukua vikombe sidhan kama inaweza kuporomoka kiuchumi shida ni kutumia sana hela lakini huchukui vikombe,
unadhan kwa uingereza unaweza kutumia sana hela na kuchukua vikombe kirahisi
 
Yaani hii habari inanikera kama natoa mimi pesa mfukoni, Pogba paundi 100?
 
Source yako ni nini au umeota?? Sky sports hawajasema, bbc hawajasema, au mwanahalisi wamesema??
 
Source yako ni nini au umeota?? Sky sports hawajasema, bbc hawajasema, au mwanahalisi wamesema??
Inawezekana maana Madrid wameend interest to pogba hii inatoa nafasi kwa man united na huenda habari za chinichini wamefikia makubaliano ndo mana madrid wamejitoa
 
Back
Top Bottom